0 votes
660 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Tumia ‘kwa’ katika sentensi kuonyesha :

  1. Sehemu ya kitu kizima 
  2. Namna tendo lilivyofanyika 

1 Answer

0 votes
by

   

  1. Mwalimu alimpa nne kwa tano.
  2. Mwanafunzi alitembea kwa maringo
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.9k questions

8.3k answers

6 comments

590 users

...