0 votes
4.0k views
in Fasihi by
Toa sababu sita za kudidimia kwa fasihi simulizi.

1 Answer

0 votes
by
  1. watu kuwa na mtazamo hasi kuhusu fasihi simulizi
  2. ubidhaaishaji wa fasihi simulizi- kuandika kitabu kama vile cha methali na kubadilisha umiliki
  3. watu kupendelea kusoma
  4. mwingiliano wa watu huwafanya kusahau fasihi yao
  5. teknolojia yasasa ambayo fasihi simulizi huhifadhiwa badala yaakilini.
  6. Utamaduni wa fasihi simulizi umebadilika – babu na bibi hawawatambii watoto hadithi. Mwalimu akadirie
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...