0 votes
3.2k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
recategorized by

Andika sentensi ifuatayo katika wakati uliopita hali ya mazoea. 
Bili atawashauri vijana kuhusu umuhimu wa michezo.

1 Answer

0 votes
by
Bili alikuwa anawashauri /akiwashauri vijana kuhusu umuhimu wa michezo.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.7k questions

7.4k answers

6 comments

590 users

...