0 votes
738 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Andika katika udogo na wingi

  1. Njusi aliyekuwa na jicho moja alianguka mtoni 

1 Answer

0 votes
by
Vijijusi/vijusi vilivyokuwa na vijisho vilianguka vijitoni
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.9k questions

8.2k answers

6 comments

590 users

...