0 votes
372 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Onyesha tofauti kati ya sentensi hizi:

  1. Amefika.
  2. Amefika!

1 Answer

0 votes
by
Sentensi ya kwanza inasemwa kwa njia ya kawaida ilhali ya pili inasemwa kwa njia ya mshangao, labda kuonyesha ni kitu kisichotarajika.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...