0 votes
1.9k views
in Fasihi by
Ngomezi zina majukumu yapi manne katika jamii yako?

1 Answer

0 votes
by
  1. Ni njia ya kupitisha ujumbe wa dharura katika jamii ― vita.
  2. Ni kitambulisho cha jamii.
  3. Huhifadhi na kuendeleza utamaduni wa jamii.
  4. Hukuza uzalendo – wanajamii huionea fahari mbinu hii ya kuwasiilana.
  5. Hukuza ubunifu – jinsi wanajamii wanavyokabiliwa na aina tofautitofauti za ujumbe ndivyo wanavyojifunza mitindo mipya.
  6. Ni njia rahisi ya kuwasilisha ujumbe.

Related questions

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...