0 votes
7.0k views
in Fasihi by
Eleza vitambulisho vya mtambaji bora wa hadithi.

2 Answers

0 votes
by
 1. sauti nzuri inayosikika
 2. Kumbukumbu nzuri
 3. Matumizi ya toni
 4. Matumizi ya viziada Lugha/ishara
 5. Matumizi ya miondoko/kunengua viungo vya mwili
 6. Ushirikishi wa hadhira
 7. Utambuzi na weledi wa hadhira
 8. Uwezo wa ufaraguzi- kufanyia hadithi mabadiliko
 9. Awe mcheshi/aibue kicheko kwa hadhira
 10. Uwezo wa kukadiria kasi wakati wa utambaji
 11. Avae maleba
 12. Makamavu
 13. Kuibua hisia zahadhira
 14. Aelewe lugha ya hadhira zozote
0 votes
by
Kuwa mbunifu

Related questions

0 votes
3 answers
asked Mar 16, 2022 in Fasihi by Judevasang
0 votes
0 answers
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...