0 votes
1.1k views
in Fasihi by
Vitendawili
1.cheusi chazingira cheusi ndani?
2.nazi yangu yafurahisha ulimwengu mzima?
3.ng'ombe wa babu wakienda machungani hulia wakirudi hawalii?
4.ukigusa mtoto wangu mimi hucheka?
5.namwomba atangulie lakini hukataa katakata?

2 Answers

0 votes
by
3.vibuyu
5. kisigino
0 votes
by
Nguo

Related questions

0 votes
2 answers
0 votes
0 answers
asked Apr 16, 2022 in Fasihi by Aishanyambura
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...