0 votes
1.3k views
in Chozi la Heri by

1 Answer

0 votes
by
1. Ridhaa anabaguliwa na wanafunzi wenzake kwa kutokuwa wa jamii yake jambo linalomfanya Ridhaa kulia sana na kutaka kuacha shule uk 10
2. Subira analia kilio cha ubaguzi unatokana na mamamkwe
3. Mamamkwe anamlaumu kuwa yenye ndiye sababu ya kuharibiwa mali yao
4.Ukabila huu unasababisha kutengana kwa Subira na mmewe Kaizari
5. Subira anaacha watoto wake kwa uchungu yaani lime na Mwanaheri
6. Ukabila unasababisha kuwa na malezi mabaya kwani waazazi hawana utulivu wa kuwaelekeza watoto wao.
7.Ukabila unasababisha kifo cha familia ya Ridhaa
Kuharibu mali ya Ridhaa jumba lake la kifahari linachomwa.
8.Subira mkewe kaizari ambaye ni mbamwezi suala la kutengwa na familia yake kina msababishia kifo cha mapema uk 97
9. Selume anatengwa na bintiye Sara kwa sababu ya ukabila
10. Lucia kangata ndoa yake inapingwa kwa kuwa anaolewa katika jamii ambayo si yao.
11.Lime na Mwanaheri nduguye wanabakwa mbele ya babake
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...