0 votes
2.2k views
in Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine by
Matumizi ya jazanda katika Kidege

1 Answer

0 votes
by
bustani ya Ilala:hii ni jazanda inayo ashiria rasilimali ambapo pametengwa pa watu pakujifurahisha tu. 

samaki: samaki wote wanaashiria rasilimali ikiwemo samaki wa mashambani wanaashiria rasimali ya mashambani ilhali samaki wa jijini wanaashiria rasilimali ya jijini. 

watu watabaka la juu wamelinganishwa na midege iliyovamia bustani ya Ilala : watu wa tabaka la juu wanaharibu rasilimali ya watu wa tabaka la chini ambao pia wamelinganishwa na videge waliowazuia midege kuharibu mazingira yao . 
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...