- Majulisho kuhusu jambo fulani.
Arifa
SHULE YA UPILI YA GATWE
Anwani, tarehe
USAJILI WA …
Sahihi
Jina
Cheo
Kibiashara
Sifa
- Lugha kwa kifupi
- Chuku
- Takriri
- Alama ya (!) na (?)
- Michoro
- Maonyo
- Maelezo kukihusu
- Kinavyotumika
- Ubora wake
- Watengenezaji
JINUNULIE UNGA WA MAHINDI WA JAMBO |
JAMBO SIKU YA LEO. UNGA WA JAMBO UMEONGEZEWA VITAMINI NA MADINI MUHIMU. BEI IMEPUNGUZWA KUTOKA SHILINGI 120 HADI SHILINGI 90. JIPAPIE PAKITI YAKO LEO KABLA BEI HII KUACHA KUTUMIKA |
Kifo
TANGAZO LA KIFO
Tunasikitika kutangaza kifo cha …Alikuwa…
Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi
Kazi
SHULE YA UPILI YA GATWE
Anwani, tarehe
NAFASI YA KAZI YA UHASIBU
SIFA ZA MWOMBA KAZI
JINSIA
- Awe wa jinsia ya kike.
UMRI
- Awe na umri wa miaka isiyopungua25 na isiyozidi 40.
ELIMU
- Awe na shahada ya uhasibu kutoka chuo kikuu au awe na shahada ya diploma ya juu ya uhasibu
- Awe amepata alama ya c katika kingereza
KAZI
- Kuidhinisha hati za malipo za shirika
- Kusimamia shughuli za uhasibu katika idara inayohusika
UZOEVU/TAJRIBA
- Awe na uzoevu wa kazi usiopungua miaka 5 kwenye shirika au taasisi kubwa.
DINI
- Awe muumini wa dini ya kikristu na awe ameokoka.
MUDA WA KAZI
- Kuanzia saa mbili hadi saa kumi na moja jioni na masaa mengine ikibidi.
MSHAHARA
- Mshahara utategemea elimu ya anayehusika lakini utakuwa baina ya ksh 24,000 na ksh 45000.
MAELEZO YA ZIADA
- Maombi yote yawe yamewasilishwa kabla ya tarehe 30 mei 2010.
- Maombi yatumwe kwa:
Katibu,
Halmashauri ya shule ya upili ya Gatwe,
Anwani - Maombi yatakayopelekwa baada ya muda wa mwisho hayatajibiwa.
- Maombi yaandamane na hundi ya shilingi elfu moja ambazo hazitarejeshwa.
Download Matangazo - Kiswahili Insha Notes.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students