- Taarifa inayotoka kwa mtu au watu inayoeleza haja fulani k.m. risaala ya rambirambi, risala ya heri njema, ya waajiriwa kwa mwajiri au kinyume.
- Kuna ya kawaida na rasmi. Ile rasmi huchukua muundo wa barua rasmi.
Rasmi
Muundo
- Anwani ya mwandishi
- Tarehe
- Anwani ya m/warejelewa
- Mtajo
- Kichwa: RISALA YA RAMBIRAMBI……….
- Ithibati kuwa umeiandika: Mimi wako…
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Download Insha ya Risala - Kiswahili Insha Notes.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students