0 votes
1.8k views
in Chozi la Heri by
"Sasa hivi ndio naona thamani ya utulivu." Eleza muktadha wa dondoo hili.

1 Answer

0 votes
by
Haya meneno ya Ridhaa, walikuwa uwanja wa ndege wa rubia, walikuwa na mwangeka,sababu ni wahafidhana walitulia mara hiyo na walikua amani

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.5k questions

6.7k answers

6 comments

590 users

...