0 votes
205 views
in Chozi la Heri by
"Umeipa mashizi familia hii.......kwa kufuata utashi wa moyo wako."
(a eleza muktadha wa dondoo hii. (alama 4)
(b) taja tamathali mbili za usemi zinazojitokeza katika dondoo hii.
(c) onyesha sifa nne za mrejelewa.(alama 4)
(d) eleza matukio yaliyomkumba mrejelewa hadi hatima yake kwa kufuata utashi wa moyowe.

Please log in or register to answer this question.

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.5k questions

6.8k answers

6 comments

590 users

...