0 votes
994 views
in Chozi la Heri by
Eleza muktadha wa dondoo hii"lakini itakuwaje historical injustice nawe Ridhaa hapo ulipo sicho kito?

1 Answer

0 votes
by
Ridhaa na anaongea na nafsi yake
Alikua katika jumba lake lililokua limechomeka
Anasema hivyo kwasababu Tila alikua anakumbuka mazungumzo yake wakiwa naye
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.3k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...