0 votes
4.5k views
in Isimu Jamii by
bainisha changamoto tani zinazoikabili lugha ya kiswahili kama somo katika shule za upili nchini kenya

6 Answers

0 votes
by
Ukosefu wa walimu waliohitimu,Imani potovu
Ukosefu wa vitabu vya kusoma
0 votes
by
Ukosefu wa sera


0 votes
by
Matumizi ya kingereza wakati mwingi


0 votes
by
Muda mchache wa kufunza somo la kiswahili shuleni

0 votes
by
Matumizi ya lugha ya kingereza kwa wingi
Matumizi ya lugha ya mama
Matumizi ya lugha ya sheng
Ukosefu wa walimu waliohitimu
Ukosefu wa vitabu za kiswahili 
0 votes
by
Matumizi yalugha ya mama 
Matumizi yalugha ya sheng
Kisahili kupewa MDA change shuleni 
Upendelevu wa lugha ya kiingereza

Related questions

0 votes
3 answers
0 votes
11 answers
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...