0 votes
1.9k views
in Kigogo by
''Nyamaza wewe! nyinyi ndio mlioturudisha nyuma miaka yote hii''   1.Eleza muktadha wa dondoo hii 2.Kwa kurejelea hoja saba eleza jinsi msemaji alivyorudishwa nyumaa 3.Eleza umuhimu wa msemaji katika riwaya 4.Eleza toni ya dondoo hii 

Please log in or register to answer this question.

Related questions

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...