0 votes
408 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Tofauti Kati ya hayati na marehemu

1 Answer

0 votes
by
Hayati ni jina linalopewa mtu aliyekuwa na cheo au mtu wa hadhi ya juu anapoaga ilhali marehemu ni jina la heshima kwa mtu aliyeaga

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...