0 votes
1.4k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Tunga sentensi ya neno moja iliyo na vipashio viifuatavyo vya kisarufi: kiima, kiambishi cha wakati ujao, shamirisho kitondo, mzizi, kauli tendea na kiishio.

1 Answer

0 votes
by
Atakusomea/watawachezea/utanipikia
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...