0 votes
2.7k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Tunga sentensi moja kudhihirisha matumizi mawili ya kiambishi i.

1 Answer

0 votes
by

Sukari iliyonunuliwa haipendezi.

  1. Kiambishi i ni kipatanishi ngeli ya I-I. Damu imemwagika.
  2. Kiambishi i hutumiwa kukanusha wakati uliopo: inapendeza – haipendezi.
  3. Kiambishi I kukanusha hali ya mazoea: Wao huimba – wao hawaimbi.
  4. Kiambishi I ni kipatanishi katika ngeli ya I-ZI umoja: Barabara imeundwa.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...