0 votes
1.0k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Eleza maana ya mofimu.

1 Answer

0 votes
by
Kipashio kidogo cha lugha chenye maana na ambacho hakiwezi kutenganishwa zaidi bila ya kupoteza maana yake.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...