0 votes
1.7k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Andika neno moja lenye mofimu zifuatazo:

  • nafsi ya kwanza wingi, wakati uliopita, yambwa, mzizi, kauli ya kutendesha ,kiishio kutenda.

1 Answer

0 votes
by
  1. Tu-li-u-chez-esh-a
  2. Tu-li-m-som-ash-a
  3. Tu-li-u-ingiz-a
  4. Tu –li-li-end-esh-a
  5. Tu-li-ki-ugu-z-a
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...