0 votes
2.4k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Fafanua miundo yoyote miwili ya nomino katika ngeli ya U-ZI.

1 Answer

0 votes
by
  1. U-O(ukucha – kucha)
  2. U-nd (udeve- ndevu) 
  3. W-ny-(wayo -nyayo)
  4. U- ny (unywele – nywele)
  5. U- nj (Ujia -njia)
  6. U - mb (ubao -mbao)
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...