0 votes
1.1k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Itumie nomino ya kawaida na ile ya kitenzi jina katika sentensi moja sahihi.

1 Answer

0 votes
by

Kufaulu kwa wanafunzi kuliwaletea sifa nyingi.

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.9k questions

8.2k answers

6 comments

590 users

...