0 votes
969 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Taja misingi inayotumiwa katika upangaji wa irabu.

1 Answer

0 votes
by
  1. mahali kwenye ulimi
  2. mwinuko wa ulimi kinywani
  3. mkao wa midomo
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.3k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...