0 votes
908 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Andika sentensi hii katika usemi wa taarifa.  
" Maisha ya sasa ni magumu na sijui wakati kama huu mwaka ujao utakuwaje." Farida akasema.

1 Answer

0 votes
by
Farida alisema kuwa maisha ya wakati huo yalikuwa magumu na hakujua wakati kama huo mwaka ambao ungefuata ungekuwaje.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...