0 votes
863 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Andika katika usemi wa taarifa.
“ Lazima ufike leo asubuhi na mapema ama sivyo hutanipata” Juma alimwambia mamake.

1 Answer

0 votes
by
Juma alimwambia mamake kuwa lazima afike siku hiyo asubuhi na mapema ama sivyo hangempata
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.9k questions

8.3k answers

6 comments

590 users

...