0 votes
636 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Fafanua utata uliopo katika sentensi hii.
Mwaliko huo ulinishtua

1 Answer

0 votes
by
  1. Sauti iliyotokeza ilinipa wasiwasi
  2. Mwito wa kunikaribisha mahali ulinishtua  
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...