0 votes
703 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Tambua aina za shamirisho katika sentensi hii.
Wafadhili wamewalipia mayatima karo kwa hundi.

1 Answer

0 votes
by
karo - kipozi
mayatima - kitondo
hundi- ala
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.7k questions

7.3k answers

6 comments

590 users

...