0 votes
647 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Tambulisha aina za vitenzi katika sentensi hii.   
Panya yu mtegoni lakini anajaribu kujinasua.

1 Answer

0 votes
by
yu- kishirikishi kipungufu
anajaribu- kitenzi kisaidizi
kujinasua- kitenzi kikuu
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.8k questions

8.2k answers

6 comments

590 users

...