0 votes
1.3k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Tunga sentensi ukitumia vitenzi vifuatavyo.

 1. Kitenzi kishirikishi kipungufu
 2. Kitenzi kishirikishi kikamilifu

1 Answer

0 votes
by
 1. Kitenzi kishirikishi kipungufu
  • ni /si /yu
   Yeye ni mkulima.
 2. Kitenzi kishirikishi kikamilifu
  • agali/likuwa /kwamba/anaonekana
   Juma alikuwa mtoni
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...