0 votes
640 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Nini maana ya mofimu?

1 Answer

0 votes
by

Mofimu ni kipashio kidogo cha lugha chenye maana na ambacho hakiwezi kutenganishwa zaidi bila ya kupoteza maana yake.

Related questions

0 votes
4 answers
0 votes
7 answers
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.5k questions

6.7k answers

6 comments

590 users

...