Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
Andika tofauti moja kati ya sauti zifuatazo.
0
votes
3.9k
views
asked
Jul 23, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anonymous
Andika tofauti moja kati ya sauti zifuatazo.
|ng’| na |gh|
|v| na |f|
|r| na |l|
|m| na |n|
sauti
matamshi
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Jul 23, 2021
by
anonymous
/ng/-Nazali/kipua/king’ong’o
/gh/-kikwamizo
/v/-ghunalina msepetuko/mridimo
/f/-sighuna
/r/ -kimadende
/l/-kitambaza
/m/ -midomoni
/n/-ufizi/masine
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
1
answer
Eleza tofauti kati ya sauti za vipasuo na vikwamizo
asked
Aug 16, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anonymous
sauti
matamshi
0
votes
1
answer
Eleza tofauti kati ya sauti hizi
asked
Aug 11, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anonymous
sauti
matamshi
0
votes
1
answer
Eleza tofauti kati ya sauti /z/ na /d/
asked
Aug 4, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anonymous
matamshi
sauti
0
votes
1
answer
Eleza tofauti ya kimatamshi baina ya sauti zifuatazo.
asked
Jul 23, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anony mous
matamshi
sauti
0
votes
1
answer
Andika neno moja lilo na mpangilio wa sauti zifuatazo: kikwamizo sighuna cha ufizi, irabu ya mbele wastani, nazali ya midomo na irabu ya nyuma wastani.
asked
Jul 1, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anonymous
matumizi ya lugha
sauti
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...