0 votes
634 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Andika sentensi ifuatayo katika umoja. 

  • Mkihifadhi nafaka hizo vizuri maeneo haya yatakuwa na vyakula vya kutosha

1 Answer

0 votes
by
Ukihifadhi nafaka hiyo vizuri eneo litakuwa na chakula cha kutosha.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...