0 votes
1.2k views
in Kigogo by

Uliona nini kwa huyo zebe wako ? Eti mapenzi!
 

 1. Eleza muktadha wa dondoo. 
 2. Andika mbinu za lugha zinazojitokeza kwenye dondoo hili 
 3. Taja hulka za mnenaji unajitokeza katika dondoo. 

1 Answer

0 votes
by
 1. Eleza muktadha wa dondoo. 
  • Maneno ya Majoka
  • Anamwambia Ashua
  • Ofisini mwa Majoka
  • Ni baada ya Ashua kumkataa Majoka Kimapenzi alipokwenda kutaka msaada kwake
    
 2. Andika mbinu za lugha zinazojitokeza kwenye dondoo hili 
  • Swali la balagha – uliona nini kwa huyo zebe wako? 
  • Nidaa – Eti mapenzi! 
    
 3. Taja hulka za mnenaji unajitokeza katika dondoo. 
  • Hulka za Majoka
   • Dharau/ bezo – Eti mapenzi!
   • Mpyaro – zebe 
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.5k questions

6.7k answers

6 comments

590 users

...