0 votes
2.6k views
in Kigogo by
wa kurejelea tamthlia ya 'Kigogo ya Pauline Kea, onyesha jinsi ambavyo viongozi wengi katika nchi za kiafrika wamejawa na tamaa.

1 Answer

0 votes
by
 1. Tamaa ya kupata sanamu/ Majoka anataka Sudi amtengenezee sana
 2. Tamaa ya kupata kodi. Majoka anawatoza kodi wafanyibiashara wa soko la Chapakazi kwa manufaa yao.
 3. Tamaa ya shule zao kufunzwa na walimu waliofuzu vyuoni. Majoka anamrai Ashua afunze katika shule zake.
 4. Tamaa ya kuungwa. Majoka anapata uungwaji mkono kupitia watu kama Ngurumo, Asiya na Boza -
 5. Anawapa hongo ili wamuunge mkono.
 6. Tamaa ya kupewa sifa lufufu. Kwa mfano Majoka lazima atangazwe katika vyombo vya habari.
 7. Tamaa ya kutafutia wanao wachumba. Majoka anamtaka Tunu aolewe na mwanawe Ngao Jur.
 8. Tamaa ya mapenzi - Majoka ana tamaa ya kupendwa na Ashua.
 9. Tamaa ya kujenga nyumba za kifahari. Majoka anatamani kujenga hoteli ya kifahari katika soko la Chapakazi.
 10. Tamaa ya usalama - Majoka ana walinzi wengi.
 11. Starehe na anasa. Majoka ana tamaa ya burudani. Anaenda kuogelea katika hoteli ya‘ Majoka and Majoka resort’
 12. Tamaa ya viongozi kurithisha jamaa zao uongozi.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.9k questions

8.2k answers

6 comments

590 users

...