0 votes
1.4k views
in Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine by

Ukirejelea hadithi ifuatayo, eleza jinsi maudhui ya mapenzi na asasi ya ndoa yanavyojitokeza. 

  • Mapenzi ya kifaurongo

1 Answer

0 votes
by
  1. Ndoa iliyotarajiwa ya Dennis na Penina ilitawaliwa na unafiki. Penina anamjia Dennis na wazo la kuwa wapenzi bila kuzingatia hali duni ya familia yake. Dennis anapokosa ajira anamfukuza
  2. Inatawaliwa na kuhimiliana
  3. Imetawaliwa na kukata tamaa - Penina anakata tamaa baada ya Dennis kukosa kazi
  4. Imezingirwa na utabaka wa kiasili
  5. Mapenzi hukua, huugua na hufa
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.3k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...