0 votes
1.5k views
in Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine by

Ukirejelea hadithi zifuatazo, eleza jinsi maudhui ya mapenzi na asasi ya ndoa yanavyojitokeza.

  • Masharti ya kisasa

1 Answer

0 votes
by
  1. Ndoa ya Dadi na Kidawa
  2. Ndoa inayodhibitiwa na masharti
  3. Ndoa ya kupanga uzazi
  4. Ndoa inayoruhusu mwanamke kufanya kazi. Kidawa anafanya kazi ya umetroni usiku na kuuza bidhaa mtaani
  5. Baadhi ya watu huingilia ndoa za wenzao kama njia ya kuona mapenzi yamevunjika baina ya wanandoa husika
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.3k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...