Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
Linganisha naulinganue vitendawili na methali.
0
votes
8.0k
views
asked
Jul 23, 2021
in
Fasihi
by
anonymous
Linganisha naulinganue vitendawili na methali.
fasihi simulizi
vitendawili
methali
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Jul 23, 2021
by
anonymous
MFANANO
Zote ni tungo fupi za semi
Zote huwa na maana fiche
Zote hutumia lugha inayojenga taswira
Zote huwa na miundo maalum ya lugha
Zote hupata maana kulingana na jamii
TOFAUTI
Vitendawili vina fomyula ilhali methali hazina fomyula
Fumbo la kitendawili hufumbuliwa papo hapo fumbo si lazima kufumbuliwa papo katika methali.
Vitendawili hutumiwa na watoto sana, methali hutumiwa kuonyesha hekima miongoni mwa watu wazima na wazee
Vitendawili hutolewa katika vikao maalum, methali si lazima kutengewa vikao maalum.
Vitendawili hutumia lugha ya majibizano , methali aghalabu huwa kauli moja ya msemaji.
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
1
answer
Fafanua mchakato/fomula ya uwasilishaji wa vitendawili.
asked
Jul 23, 2021
in
Fasihi
by
anonymous
fasihi simulizi
vitendawili
0
votes
2
answers
tofauti kati ya kipera Cha vitendawili na kile Cha methali
asked
Sep 25, 2022
in
Fasihi
by
0704071XXX
fasihi
0
votes
0
answers
Linganua methali na vitendawili
asked
Apr 16, 2022
in
Fasihi
by
Aishanyambura
fasihi
0
votes
0
answers
Nyimbo za kitamaduni zilikuwa na na nafasi katika ufanisi wa jamii kwa jumla? Eleza
asked
Oct 7, 2021
in
Fasihi
by
moana
fasihi simulizi
0
votes
1
answer
Kwa kutumia vipengele vitano, onyesha maingiliano yaliyopo baina ya fasihi simulizi na fasihi andishi.
asked
Jul 6, 2021
in
Fasihi
by
anony mous
fasihi simulizi
fasihi andishi
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...