0 votes
8.2k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Ainisha viambishi katika neno lifuatalo.
Anayemtembelea

1 Answer

0 votes
by
A – Kiambishi cha ngeli pia nafsi ya tatu umoja
na – Liambishi cha wakati uliopo
ye – Kirejeshi
m – Mtendwa
tembe – Mzizi
le – kauli
a – kiishio
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...