0 votes
661 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Eleza matumizi ya viambishi vilivyopigiwa kistari.
Aliingia kisiri na kuchukua kijana chake. 

1 Answer

0 votes
by

Kisiri - kielezi cha namna mfanano. Kijana- kuonyesha udogo 

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...