0 votes
1.5k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
recategorized by

Ainisha maneno yaliyopigiwa mstari katika sentensi ifuatayo: 
Mwenyewe hakuwa amekupa ruhusa kuitumia.

1 Answer

0 votes
by
Mwenyewe - kiwakilishi / kiwakilishi cha peke/kijina/kibadala (w)
hakuwa – kitenzi kisaidizi Ts / T
amekupa - kitenzi kikuu T
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.9k questions

8.2k answers

6 comments

590 users

...