0 votes
876 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Tambua vivumishi katika sentensi ifuatayo na ueleze ni vya aina gani. 

  1. Mtoto wake ameng’oka jino.
  2. Msemo wenye tafsida hupendwa.

1 Answer

0 votes
by
  1. Wake – kimilikishi
  2. Enye - pekee
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...