Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
Maenezi ya Kiswahili Afrika mashariki punde baada ya uhuru yalikuwa na chagamoto tele. Fafanua zozote tano
0
votes
6.9k
views
asked
Aug 16, 2021
in
Isimu Jamii
by
anonymous
Maenezi ya Kiswahili Afrika mashariki punde baada ya uhuru yalikuwa na chagamoto tele. Fafanua zozote tano
isimu jamii
changamoto za uenezi wa lugha ya kiswahili
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Aug 16, 2021
by
anonymous
Uhaba mkubwa wa wataalamu wa Kiswahili
Athari kutoka kwa lugha ya kwanza.
Watu kuchangamka lugha nyinginezo ka vile kiingereza, kijerumani.
Imani potovu – lugha ya Kiswahili ni duni
Uhaba wa walimu wa Kiswahili.
Uhaba wa vitabu vya Kiswahili.
Kutokuwepo kwa sera ya lugha kutoka kwa baadhi ya serikali za mataifa ya Afrika mashariki.
Uhaba wa pesa za kutafikia
Nchi za Afrika za kukuza na kuendeleza Kiswahili
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
2
answers
Taja mambo mawili muhimu yaliyosaidia katika maenezi ya Kiswahili Afrika mashariki na kati.
asked
Aug 3, 2021
in
Isimu Jamii
by
anony mous
isimu jamii
0
votes
2
answers
taja na ieleze aina zozote tano za ngano/hadithi
asked
Apr 18, 2022
in
Isimu Jamii
by
Ashaabwao
isimu jamii
0
votes
1
answer
Fafanua nadharia zozote mbili zinazoeleza kuhusu chimbuko la lugha ya Kiswahili.
asked
Jul 5, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anony mous
isimu jamii
lugha ya kiswahili
0
votes
1
answer
Fafanua sababu tano za watu kuhamisha na kuchanganya msimbo katika mawasiliano.
asked
Jul 1, 2021
in
Isimu Jamii
by
anonymous
isimu jamii
kuchanganya lugha
kuhamisha lugha
0
votes
1
answer
fafanua sofa Tano za sajili ya Askari fanua istilahi zifuatazo:pijini
asked
Jan 3, 2023
in
Isimu Jamii
by
0728984XXX
isimu jamii
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...