0 votes
165 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
edited by
Ainisha vielezi katika sentensi ifuatayo:
Mwanamke huyo alibebwa juu juu hadi kanisani.

1 Answer

0 votes
by
juu juu – kielezi cha namna
Kanisani – kielezi cha mahali
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.7k questions

7.3k answers

6 comments

590 users

...