0 votes
344 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Bainisha jinsi maneno yaliyopigiwa mstari yalivyotumika. 

  1. Kula kwake ni chanzo cha afya yake nzuri.
  2. Kula vizuri kama unataka kuwa na afya bora”.Daktari alisema.

1 Answer

0 votes
by
  1. Kula – kitenzi nomino
  2. Kula – kitenzi 
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...