0 votes
1.8k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Eleza sifa mbili za sauti ifuatayo /i/

1 Answer

0 votes
by
  1. /i/ ni sauti ya mbele ya kinywa 
  2. Ni sauti ya juu ya kinywa
  3. Midomo hutandazika inapotamkwa
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...