0 votes
4.8k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Tia shadda kwenye maneno yafuatayo ili kuleta maana iliyo katika mabano

  1. Ala (kifaa) -  
  2. Ala (mshangao)- 
  3. Barabara (njia kuu) - 
  4. Barabara (sawasawa)

1 Answer

0 votes
by
  1. Ala (kifaa) -  ‘Ala
  2. Ala (mshangao)- A’la!
  3. Barabara (njia kuu) - Bara’bara
  4. Barabara (sawasawa) - Ba’rabara
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.7k questions

7.4k answers

6 comments

590 users

...