0 votes
4.1k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
  1. Eleza maana ya shadda 
  2. Onyesha panapotokea shadda katika neno: mteremko. 

1 Answer

0 votes
by
  1. Ni mkazo unaowekwa kwenye silabi ya neno ili neno hilo liweze kutokeza maana yake halisi 
  2.    
    • mtereā€™mko
    • Kuadhibu: makosa yasizidi nusu ya alama katika kila sehemu
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...