0 votes
5.1k views
in Isimu Jamii by
Taja sifa za sajili ya shuleni.

2 Answers

0 votes
by
  1. Lugha ya heshima
  2. Lugha ya upole na Adabu ya mwanafunzi
  3. Msamiati maalum na unaoana na mazingira
  4. Kuzingatia sarufi.
0 votes
by
1.lugha sanifu hutumika.

2.lugha ya upole na unyenyekevu hutumika. 

3.ni lugha ambayo una utaani.

4.wakatinyingine huwa ya kuamrisha haswa mwanafunzi akoseapo mwalimu.

5.huwa na msamiati maalum,kwamfano ;mwalimu,darasa,dawati nakadalika

Related questions

0 votes
10 answers
0 votes
2 answers
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

5.7k questions

7.4k answers

6 comments

590 users

...